Wednesday, September 17, 2014

PSPF YAEENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WANACHAMA WASTAAFU

YBY_5908Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akitoa pongezi kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa mafanikio waliopata tangu kuanzishwa kwa mfuko huo, kwenye mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam
YBY_5951Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mfuko huo kwa kipindi cha miaka 15 tangu ulipoanzishwa. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi
YBY_5960-1Baadhi ya watumishi wa PSPF na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa mfuko huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
YBY_6058Wakurugenzi wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) tuzo mbalimbali zilizotolewa kwa PSPF. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa PSPF Bi. Neema Muro.

No comments:

RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC

  NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka serikalini kupitia Wizara ya kilimo ...