Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar
Cosmas Amani Shayo, alipowasili katika eneo la Mazishi ya Marehemu Balozi
Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi
Unguja jana.…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar
Cosmas Amani Shayo, alipowasili katika eneo la Mazishi ya Marehemu Baloz
i Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi
Unguja jana.
Jeneza la Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,likiwa limebebwa na
Askari Polisi na kulifikisha katika kaburi lake yalipofanyika mazishi kijijini
kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.
Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar Cosmas Amani
Shayo, akiuombea mwili wa marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,
wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi
Unguja jana.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,ukitemshwa katika
kaburi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya
Magharibi Unguja jana.
( PICHA RAMADHAN OTHMAN IKULU )
No comments:
Post a Comment