Sunday, October 20, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Ujumbe Wake Wawasili Shenzhen Wakitokea Beijing Akiwa Katika Ziara ya Kikazi nchini China



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo.
Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...