Tuesday, October 15, 2013

Mwanasiasa mkongwe Peter Kisumo Aonya CCM yaweza Kung’oka Madarakani Kutokana na Kunyamazia Vitendo vya Ufisadi na Matumizi Mabaya ya Rasilimali za Umma

 Peter Kisumo akizungumza na timu ya waandishi wa habari wa mwananchi nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Picha na Sulvan Kiwale
--- 
 Mwanasiasa na kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ameonya kuwa chama hicho kinaweza kuondolewa madarakani kutokana na kunyamazia vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma vinavyotokea nchini.

Mzee Kisumo alitoa onyo hilo wiki iliyopita katika mazungumzo maalumu aliyofanya na Mwananchi nyumbani kwake Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere inayoadhimishwa leo.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.......

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...