Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo
la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika
utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika,
kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa
kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam. Picha Zote
na Dande Francis
No comments:
Post a Comment