Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini-Chadema Mhe Msigwa katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa juzi kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Sehemu ya Vijana na Wapenzi wa Chadema Mkoani Iringa Waliyojitokeza Uwanja wa Ndege wa Nduli Mjini Iringa Kumpokea Rais Jakaya Kikwete aliyetua jana kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment