Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania,
Adrian Liamba akiongea kabla ya kukata keki ya maadhimisho
ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kulia ni Afisa
huduma kwa wateja Deogratius Hugo na Lulu Mashiba.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian
Liamba (wa pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel
Tanzania kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Wateja
yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake kulia ni Afisa
huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian
Liamba akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na
Aitel Tanzania katika maadhimisho ya Huduma kwa Mteja.
Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo.
Ukataji wa keki.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania,
Adrian Liamba akimlisha mmoja ya wateja ambaye
aliungana na Aitel Tanzania katika maadhimisho ya
Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Mfanyakazi
wa Airtel Tanzania Angestina.
Wateja wa Airtel Tanzania wakipatiwa huduma katika
ofisi ya Airet Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa
maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi
za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Afisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea
machache wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki
wa Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana
mikono kuonyesha mshikamano wakati wa maadhimisho
ya wiki ya huduma kwa Mteja.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania,
Adrian Liamba akiongea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho
ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania,
Adrian Liamba akiongea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho
ya wiki ya Mteja åyaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment