Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na
Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Vyama vya Upinzani muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu
Rasimu ya Katiba ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka
kushoto ni Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim
Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM na Bibi Nancy Mrikaria
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe. Agustine Lyatonga Mrema.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo
ikulu jijini Dar es Salaam. Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi, Mh.
James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mhe. Tundu Lissu wa
CHADEMA. Nyuma ni Mhe. James Mbatia NCCR Mageuzi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe. John
Mnyika.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Vyama vya Upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla
ya kuanza mazungumzo kuhusu Rasimu ya Katiba ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Kutoka kushoto mbele ni Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa
Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM na Bibi Nancy
Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe. Agustine Lyatonga Mrema.
Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF Bwana Julius Mtatiro,
Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o NCCR Mageuzi, Waziri wa nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge William Lukuvi, Mhe. Habib Mnyaa
CUF, Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. John Mnyika, Waziri wa nchi
Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Mhe. Steven Wassira na Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Mathias Chikawe.
(Picha na Freddy Maro, Ikulu)
No comments:
Post a Comment