Tuesday, October 08, 2013

Mbunge wa Jimbo la Temeke-CCM Abbas Mtemvu Atangaza Mkutanoni Miradi Kibao inayotekelezwa Kwa Ilani ya CCM Temeke

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sifa, Mtoni Sabasaba, Temeke, Dar es Salaam. Alifanya mkutano huo kwa lengo la kuelezea miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo kwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. 
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Yahya Sikunjema akihutubia katika mkutano huo
 Mtemvu akitaja miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo
 Baadhi ya viongozi wa CCM, Serikali na vyama vya upinzani wakiwa katika mkutano huo
 Mmoja wa wananchi akiuliza swali kwa viongozi akiwemo mbunge na diwani wa eneo hilo
 Mtemvu akijibu maswali
 Diwani wa Kata ya Mtoni Ali Kinyaka akijibu maswali ya wananchi
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Sikunjema na Mbunge Mtemvu wakicheza muziki wa majanga
Kulia  Mke wa Mbunge wa Temeke, akifurahi pamoja na wananchi baada ya mkutano huo kumalizika
Mke wa Mbunge wa Temeke, ambaye pia ni Diwani wa Viti Maalum (wa pili kushoto) akicheza muziki pamoja na wananchi

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...