Tuesday, October 08, 2013

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Atoa Kauli Ya Serikali Juu ya Mgomo wa Wamiliki wa Malori

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo kuhusu mgomo 
uliopangwa kufanywa na wadau wa usafirishaji nchini wakati 
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  jana jijini Dar Es Salaam.
















Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akifafanua sheria  namba 30 ya 
mwaka 1973 ya usalama barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka
 2001 inayohusu kiwango cha mwisho cha uzito wa magari, kulia ni
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna 
Suleiman Kova akifuatilia kwa makini.













 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna Suleiman
 Kova akieleza jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kulinda usalama ili 
watumiaji wa barabara wasiweze kupata usumbufu huku akisisitiza 
kuwa kabla ya Jeshi la polisi kuchukua hatua za kisheria ni vema vyombo
 vinavyosimamia usafirishaji vikachukua hatuaKushoto ni Waziri wa Ujenzi 
Dkt. John Magufuli.












Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Ujenzi na Waandishi wa Habari
 wakifuatilia kwa makini maelezo toka kwa Waziri wa Ujenzi Dkt.
 John Magufuli.Picha Zote na Eliphace Marwa

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...