Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akivishwa
vazi la Asili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wazee waliohudhuria
katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani,
baada ya kuhutubia katika sherehe hizo zilizofanyika kwenye Uwanja
wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, zilizofanyika kwenye
Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment