Monday, October 07, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH .MIL 35 ZA KUSAIDIA UCHIMBAJI KISIMA ZAHANATI YA KIBADA,KIGAMBONI DAR ES SALAAM


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wilaya ya Temeke, Patrick Swai (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 35, Mhandisi wa Kampuni ya Drima Drima Drilling, Amiri Msangi kwa ajili ya gharama ya uchimbaji wa kisima cha maji katika Zahanati ya Kibada iliyopo Kingamboni Dar es Salaam. Anayeshudia makabidhiano hayo yaliyofanyika juzi katika zahanati hiyo ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo Dk. Isabela Ipopo.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...