Friday, October 25, 2013

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete Alipowasili Mjini Dodoma Kwa Ajili ya kufunga semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa inayomalizika leo

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jioni hii, kwa ajili ya kufunga semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa inayomalizika leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana jioni
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Uwanja wa Ndege mjini Dodoma baada ya kuwasili jana jioni
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimwongoza Rais Kikwete kwenda eneo la mapumziko baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika kumlaki, Uwanja wa Ndege wa Dodoma Jana jioni

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...