Thursday, October 17, 2013

Mchechu mgeni rasmi mahafali ya kidato cha nne shule ya Sekondari Marian Boys Bagamoyo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Marian Boys iliyopo Bagamoyo wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wanafunzi wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Marian Boys iliyopo Bagamoyo wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.

 Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa shule ya sekondari ya Marian Boys wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu alipozungumza nao wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne kwa mmojawapo wa wanafunzi wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Marian Boys iliyopo Bagamoyo wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akionyesha tuzo aliyopewa na uongozi wa Shule ya Sekondari ya Marian Boys iliyopo Bagamoyo wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu katika picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne wa Sekondari ya wavulana ya Marian Bagamoyo wakati wa mahafali ya shule hiyo Jumamosi ya Oktoba 12, 2013.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...