Thursday, October 17, 2013

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Swala ya ELD EL HAJJ Jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baaadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kushiriki swala ya ELD EL HAJJ iliyofanyika katika msikiti wa Maamur Upanga Jijini Dar es Salaam Leo. Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...