Friday, October 18, 2013

Aliyemuua Mama Yake Mzazi Mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro na Kumjeruhi Ufoo Saro Kisha Kujiua Mwenyewe Marehemu Anthery Mushi Aagwa Jijini Dar es Salaam

Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake iliyofanyika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Jana
Sehemu ya waombolezaji wakisikiliza kwa makini wasifu wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro, marehemu Anthery Mushi, muda mfupi kabla ya kuagwa mwili wake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana  Marehemu Anthery alisafirishwa Jana kuelekea Uru, Moshi kwa maziko yanaotarajiwa kufanyika LEO.Picha Zote na Mroki 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...