Thursday, October 10, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA UZAZI WA MPANGO NA KUZINDUA KAMPENI YA NYOTA YA KIJANI, DAR ES SALAAM LEO.


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taaluma wa Shirika la Engender Health, Feddy Mwanga, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea kwenye Banda la maonyesho la PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika  kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi wa Marie Stops Tanzania, Narietha Boniface, na Miss Tanzania 2013, wakati alipotembelea katika Mabanda la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye cha Laptop kuashiria kufungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jambii, Dkt. Hussein Mwinyi.

 Mwenyekiti wa TACAIDS, Fatma Mrisho, akizungumza wakati wa mkutano huo.

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais, kuhutubia kwenye mkutano huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano huo
 Msanii Mrisho Mpoto, akitoa burudani yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya mgeni rasmi wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City Dar es Salaam.
 Msanii Mrisho Mpoto, akitoa burudani yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya mgeni rasmi wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...