Thursday, January 15, 2015

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MGOMBEA UNEC, NJOMBE

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC), Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za CCM, wakati wa mazishi ya, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, marehemu Christian Fwalo ambaye alikuwa akiwakilisha mkoa wa Iringa mwaka 2007-2012,  katika makaburi ya Kijiji cha Ihalula, mkoani Njombe. Fwalo pia alikuwa mgombea wa NEC, ili kuziba pengo la marehemu Lupyana Fute aliyefariki mwaka juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...