Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga (katikati) kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya chuo hicho jana usiku wakati wa harambee maalum ya ukusanyaji wa fedha iliyofanyika Hotel ya Serena jijini Dar es salamm.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd na viongozi wa Chuo cha CBE wakitoa mkono wa shukrani kwa wadau mbalimbali waliotoa michango yao wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya chuo cha CBE juzi usiku jijini Dar es salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho .
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akisoma majumuisho ya michango na ahadi zilizotolewa na wadau mbalimbali waliohudhuria harambee ya kuchangia maendeleo ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) juziusiku jijini Dar es salaam. Kiasi cha shilingi milioni mia tano arobaini, laki nane na elfu ishrini na tisa (540,829,000/=) zikiwa ni ahadi na fedha taslimu zilikusanywa.
Baadhi ya wadau wa maendeleo wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wakitoa ahadi na michango mbalimbali kusaidia maendeleo ya chuo hicho juzi usiku wakati wa chakula cha hisani cha miaka 50 ya CBE kilichoandaliwa na uongozi wa chuo hicho kusaidia ukusanyaji wa fedha za ujenzi wa miundombinu,vyumba vya mihadhara na madarasa vya chuo hicho.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd na viongozi wa Chuo cha CBE wakitoa mkono wa shukrani kwa wadau mbalimbali waliotoa michango yao wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya chuo cha CBE juzi usiku jijini Dar es salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho .
No comments:
Post a Comment