Friday, January 16, 2015

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yafanya ziara eneo lililokabidhiwa na Wizara ya Ardhi kwa NHC la Luguruni

Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika eneo la Luguruni utakaojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Eneo hilo  lilikabidhiwa rasmi na Wizara ya Ardhi  kwa Shirika Eneo hilo la Luguruni lina ekari 156.53   Kamati hiyo iliongozwa na mwenyekiti wake na  jimbo la Kahama  Mbunge Mh. James Lembeli na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Zakhia Hamdani Meghji . Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu Suzan Kiwanga na kulia ni Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu wakiangalia eneo hilo.
Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati walipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika eneo la Luguruni utakaojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira  Mh. James Lembeli akizungumza jambo wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo la Luguruni, Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidatta ajadiliana jambo na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea eneo la Luguruni.

 Wakitembelea eneo hilo ambalo Wizara ya Ardhi ilikabidhi rasmi Shirika eneo la Luguruni lenye ekari 156.53 mwaka jana.
 Eneo hilo linavyoonekana kwa sasa eneo hilo  lilikabidhiwa rasmi na Wizara ya Ardhi  kwa Shirika Eneo hilo la Luguruni lina ekari 156.53 
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara, David Shambwe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uendelezaji wa eneo hilo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...