Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010 Kinana Anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MFENESINI -ZANZIBAR)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kupanda miti katika shamba la Spice Solution Farm Mwakaje Mfenesini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia pilipili zilizolimwa katika shamba hilo huku akipata maelezo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia viongo mbalimbali vilivyosagwa na kusindikwa tayari kwa kuuza kwa wateja.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kufukia mabomba katika mradi wa maji wa Mbuzini jimbo la Mfenesini huku akishirikiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Ndugu Yusuf Mohamed Yusuf.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Mama Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji Mbuzini jimbo la Mfenesini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na kikundi cha akina mama wajasiriamali cha Mshikamano Daima Kilichopo Mtopepo jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh. ShamsiVuai Nahodha wakishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Bububu.Waziri Kiongozi Mstaafu Mh. Shamsi Vuai Nahodha kushoto akiteta jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM wakati wa mkutano wa ndani uliofanyika kwenye ofisi ya CCM tawi la Bububu.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halimashauri kuu ya wilaya ya Mfenesini.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndugu Yusuf Mohamed Yusuf akizungumza katika mkutano huo wa ndani.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Mh. Masauni Yusuf Masauni.Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano wa ndaniBalozi Ali Karume akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Geji jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.Baadhi ya wananchi na wana CCM wakiwa katika mkutano huo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Geji Mtoni mjini Zanzibar.Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi katika mkutano huo amewataka wazanzibari kupiga kura ya ndiyo ifikapo aprili 30 mwaka huu ili kuipitisha katiba mpya iliyopendekezwa.Baadhi ya wanaCCM wakinyoosha mikono yao juu kukubali kupiga kura ya ndiyo katiba mpya iliyopendekezwa ifikapo Aprili 30 mwaka huu.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment