Wednesday, January 28, 2015

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA -JANUARI 27, 2015

1
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015.
4
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma Januari 27, 2015
6
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma Januri 27, 2015.
7
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Momose Cheyo, Bungeni mjini Dodoma Januri 27, 2015.
8
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Juliet Masaju (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Felista Bura (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 27, 2015
9
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mbunge wa igalu, Mhandisi Athumani Mfutakamba (kushoto) na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari.
10
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma  Januari 27, 2015.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...