Aliwataka kujali kwanza Watanzania, kuwatumikia kwa moyo wao wote kizalendo ili kuhakikisha wanazitimiza ndoto za Mwalimu Nyerere kuwajengea Watanzania Makazi Bora. Alisema Mwalimu aliwajali sana Watanzania kuliko alivyokuwa akijijali yeye na alijitoa kwa moyo wake wote kiasi hata nyumba yake aliyoijenga ilitokana na huruma ya mkopo wa Wadenmark.
"Ninavyowaona na mwendo unaokwenda inaonekana mnavyo'virusi' vya Mwalimu Nyerere mwelekeo wenu ni mzuri, msitoke kwenye reli jengeni nyumba nyingi na bora muwasaidie Watanzania, jifunzeni kadri siku zinavyokwenda najua mna baadhi ya makosa mnafanya lakini hayo siyo tatizo lenu, ni tatizo la mfumo msikate tamaa wapiganieni Watanzania wajeengeeni nyumba bora mbona Mwalimu aliweza tena akiwa na zana duni kabisa,"alisema Mzee Kassori.
Katibu Myeka wa Muasisi wa Taifa hili na Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Samwel Kasori akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa walioshiriki katika kongamano hilo aliwataka kujali kwanza Watanzania, kuwatumikia kwa moyo wao wote kizalendo ili kulhakikisha wanazitimiza ndoto za Mwalimu Nyerere kuwajengea Watanzania Makazi Bora. Alisema Mwalimu aliwajali sana Watanzania kuliko alivyokuwa akijijali yeye na alijitoa kwa moyo wake wote kiasi hata nyumba yake aliyoijenga ilitokana na huruma ya mkopo wa Wadenmark.
Katibu Myeka wa Muasisi wa Taifa hili na Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Samwel Kasori akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Tafa kwa moyo wake wa kizalendo kuwapenda Watanzania ambapo akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa walioshiriki katika kongamano hilo aliwataka kujali kwanza Watanzania, kuwatumikia kwa moyo wao wote kizalendo ili kulhakikisha wanazitimiza ndoto za Mwalimu Nyerere kuwajengea Watanzania Makazi Bora. Alisema Mwalimu aliwajali sana Watanzania kuliko alivyokuwa akijijali yeye na alijitoa kwa moyo wake wote kiasi hata nyumba yake aliyoijenga ilitokana na huruma ya mkopo wa Wadenmark.
Washiriki wa kongamano la Mameneja
wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la Taifa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs,
Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja. Kongamano limeweza kuwajengea uwezo wa kiuongozi wa kusimamia uuzaji
wa nyumba zinazojengwa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini. Washiriki wa kongamano la Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la Taifa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja. Kongamano limeweza kuwajengea uwezo wa kiuongozi wa kusimamia uuzaji wa nyumba zinazojengwa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Susan Omari akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wanaoshiriki katika kongamano hilo.
Terence Chambati na Stanley Kaffu ambao wanatoka kampuni ya wataalamu washauri wa NHC katika masuala ya mawasiliano na matangazo, Aggrey and Clifford wakifuatilia kongamano hilo.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Susan Omari akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wanaoshiriki katika kongamano hilo.
Stanley Kaffu kutoka kampuni ya wataalamu washauri wa NHC katika masuala ya mawasiliano na matangazo, Aggrey and Clifford akitoa mada kuhusiana na masuala ya Rebranding
Washiriki wa kongamano la Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la Taifa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha, wakifuatilia kwa kina kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment