Sunday, January 18, 2015

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA MKOA PWANI, SALEHE MPWIMBWI

 KAKA wa Rais Jakaya Kikwete Selemani Kikwete akiweka mchanga katika
  Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa
  katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi
  yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari
  yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo
  njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka. (PICHA NA OMARY SAID).
MBUNGE Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga kwenye
  kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje
  kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya
  Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji
  cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili
  na kupinduka. (PICHA NA OMARY SAID).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...