Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji. (Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akieleza lengo la ziara ya kamati hiyo mkoani Mtwara.Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara John Msengi akiwasilisha taarifa ya mradi wa maji wa Nanyamba kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kibaoni kinachohudumiwa na Mradi wa Maji wa Nanyamba, Issa Bakari akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akipanda ngazi za tanki la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akivuka kidaraja kuelekea kukagua tanki lingine la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
Afisa Mtendaji wa Mamlaka ya Mji wa Nanyamba, akitoa ufafanuzi kuhusu kisima cha mradi wa Maji wa Nanyamba.
Msafara wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ukiwasili kwenye ofisi za wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kukagua mradi wa Maji wa Matogoro.Mhandisi wa Maji Peter Malekia (katikati) akieleza jambo kwa Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi na wataalamu wa Wizara ya Maji wakiwa chini ya tanki la maji la Mradi wa Maji wa Matogoro linaloweza kuhifadhi maji lita 100,000.
No comments:
Post a Comment