Katibu Mkuu, Ndugu Kinana akipokelewa mkoa wa Kusini Unguja
Ndugu Kinana akisalimiana na Masheha
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Vuai Ali Vuai kumwaga zenge la linta kwenye jengo la CCM Dunga.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kupanda miti katika shamba la viungo la Alis Spices &Fruits Farm wakati alipokagua shughuli zinazofanywa katika shamba hilo lililopo Kwabani jimbo la Koani Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia miche ya mikarafuu.
Shamba la Karafuu
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha ya pamoja na mmiliki wa shamba hili pamoja na wafanyakazi.
uzinduzi wa kisima cha maji safi na salama
Sehemu ya Umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja
Sehemu ya Umati wa watu waliofika kwenye mkutano wea hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja
Katibu Mkuu akikabidhi Jezi kwa mmoja wa kiongozi ya timu ya Wasakatonge ,Suleiman Abdallah
Mfuasi wa CHADEMA,Bi.Fatma Hassan akikabidhi kadi yake kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na kujiunga na chama hico
Baadhi ya Wanachama wapya wakila kiapo
No comments:
Post a Comment