Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiwa na madakatari Bingwawa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar jana madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]Baadhi ya Madaktari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza wakiwa katika chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein Ikulu Mjini Zanzibar jana, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (katikati) akiwa katika picha na ya pamoja na na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar jana, pia wakiwepo Viongozi wengine wa Serikali, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiagana na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar jana, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment