Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment