Thursday, January 15, 2015

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akutana na Nguli wa kughani mashairi nchini, Mrisho Mpoto

Mbunge wa Monduli na waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa na Nguli wa kughani mashairi nchini, Mrisho Mpoto 'Mjomba' kwa m,azungumzo katika ofisi ya Mbunge huyo jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...