Thursday, January 15, 2015

JK AWASILI MAPUTO KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria
sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi leo mjini
Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio
Jacinto  Guebuza anayemaliza muda
wake.

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...