Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda (kulia), akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA kwenye ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam jana Jumatano Januari 21, 2015. Vifaa hivyo vina thamani ya dola za Kimarerkani laki Moja (100,000USD)
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akieleza vifaa vilivyotolewa na Serikali ya China kupitia Ubalozi wake hapa nchini kwa ajili ya kusaidia Bunge kutekeleza majukumu yake
|
Dkt. LU Youquing akizungumza |
Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza |
Spika wa Bunge Anne Makinda, Balozi wa China hapa Nchini Dkt. LU Youquing, wabunge na viongozi wengine wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA |
No comments:
Post a Comment