Tuesday, January 27, 2015

DK.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO MAALUM LA CCM PEMBA

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika Skuli ya  Fidel Castro Januari 26, 2015 kufungua  Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
PICHA  ZOTE NA IKULU
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro jana kufungua  Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba.
3
Washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika ukumbi wa Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba kufungua Kongamano hilo jana.
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai(katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo (kushoto) Katibu wa Kamati  Maalum wa Idara ya SUKI Eng.Hamadi Yussuf Masauni(kulia) wakiwa katika Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba lililofanyika jana katuka ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
5
Katibu wa Kamati  Maalum wa Idara ya SUKI Eng.Hamadi Yussuf Masauni akitoa taarifa fupi inayohusu Kongamano  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro jana Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
6
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba katika ukumbi wa Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba jana.
8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa  hutuba  yake ya ufunguzi wa Kongamano maalum la Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba jana katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
9
Washiriki wa Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein wakati akitoa  hutuba  yake ya ufunguzi lililofanyika jana  katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.
10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiwepo na Viongozi wengine baada ya kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba jana katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Casrto Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,
11
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana Wanachama wa Chama cha Mapinduzi alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba kurejea Unguja jana baada ya kufungua Kongamano maalum la Wanachama wa CCM wa Mikoa na wasomi wa Vyuo vikuu vya Pemba katika Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...