Thursday, January 29, 2015

Kongamano la Wataalamu Wathamini na Wasimamizi Miliki na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini lafanyika Dar

 Makamu wa Rais wa Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini  (TIVEA), Hamad Abdallah akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.
 Baadhi ya Washiriki kongamano la mwaka la Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini  (TIVEA) linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.

 Meneja Mkuu wa IPS, Zidikheri Mgaya na Meneja wa Wateja Itika Mwangakala wakifuatilia jambo kwenye kongamano la mwaka la Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini  (TIVEA) linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini  (TIVEA), Hamad Abdallah akiteta jambo na Kamishna mpya wa Ardhi nchini Dk Moses Kusiluka  wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya ArdhiNyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.
 Profesa Lusugga Kironde akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.
 Kamishna mpya wa Ardhi nchini Dk Moses Kusiluka akifuatilia wmada mbalimbali katika Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini  (TIVEA), Hamad Abdallah akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Taasisi hiyo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearls Ubungo Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...