Thursday, January 08, 2015

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA

unnamedMsajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na Freddy Maro)unnamed1Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akipokea vitendea kazi kutoka kwa  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kula kiapo  ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na Freddy Maro)

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...