Wednesday, January 07, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU

unnamedju1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Jaji Augustino Ramadhani wakati jaji huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es  Salaam leo(picha na Freddy Maro)
unnamedju2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Jaji Augustino Ramadhani wakati jaji huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es  Salaam leo(picha na Freddy Maro)

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...