Wednesday, January 07, 2015

BALOZI WA COMORO NCHINI AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

unnamed4kRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...