Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora Erasto Chilambo akimpokea Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui Khadija Makuani
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Bi. TunuMsangi akimkaribisha mgeni rasmi. Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa.
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora Erasto Chilambo, akizungumza na wananchi .
Wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo.
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana, Suleiman Kumchaya ( Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini) akiwa tayari kuzindua mashine za kufyatua matofali ya kufungamana .
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana Suleiman Kumchaya akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa ajili ya mradi wa vijana.
Mgeni Rasmi(Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa mashine za kufyatua matofali.
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora akimkabidhi mgeni rasmi (Makamu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana.
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Suleiman Kumchaya akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui Bi. Khadija Makuani mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa niaba ya vikundi vya vijana.
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa mkoa wa Tabora) Suleiman Kumchaya akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Igunga Bi.Lustica Turuka mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa niaba ya vikundi vya vijana.
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) akimkabidhi Mkugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Tabora Bi. Spora Liana mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwaniaba ya vikundi vya vijana.
Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana Suleiman Kumchaya akitoa hotuba katika hafla ya kukabidhi mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa ajiliya vikundi vya vijana.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Tabora katika hafla ya kukabidhi mashine za kufyatua matofali ya kufungamana.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa Isikizya.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa Veta watakaowafundisha vijana namna ya kufyatua matofali ya kufungamana kwa kutumia mashine walizokabidhiwa.
No comments:
Post a Comment