Monday, October 27, 2014

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA WASANII MLIMANI CITY

 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, akiongea na wasanii na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani wakati  akifungua kongamano  kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam juzi, Hii ni  mara ya kwanza kwa tamasha hilo  kufanyika hapa nchini, .(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA.
 Naibu waziri wa Wizara ya  Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia, alipokua akiongea na kumkaribisha mgeni rasmi  Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
  Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha wageni, (kulia) ni  Naibu waziri wa Wizara ya  Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
 Msanii Aisha Mashauzi akitoa burudani katika Maadhimisho hayo.
 Baadhi ya Wadau wa Sanaa
 Wanahabari wa katika engo ya kilammoja apate anacho kihitaji katika maadhimisho hayo.
 Baadhi ya Wadau wakifatilia kwa makini mtanange huo.
   Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati)  akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga , Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni
Naibu waziri wa Wizara ya  Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati)  akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga,   Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni
Naibu waziri wa Wizara ya  Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
  Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga,   Rashid Munyana (kushoto), akibusu Tuzo hiyo baada ya Kutunukiwa tuzo hiyo na
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal Daes Salaam jana katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani iliyo fanyika katika ukumbi wa Milmani City jana (kulia) ni mgeni rasmi  
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
    Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (kulia)  akimkabidhi Tuzo , Ofisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Agnes Kimwaga,(kushoto)
 Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platinum’ akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.
Msanii Diamond Plutnams na kundi lake wakifanya mambo makubwa jukwaani wakati wa tamasha la siku ya  wasanii duniani  lililofanyika juzi kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Wasanii wa Yamoto Bend wakitoa burudani katika Maadhimisho hayo ya siku ya wasanii Duniani.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...