Kikosi cha timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa kikiwa kimejipanga tayari kwa mpambano na timu pinzani za IFM na Muhimbili ambapo katika mechi zote mbili kilitoka (0-0). Michuano hiyo ya bonanza ilifanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa kikiwa kimejiandaa tayari kwa mpambano na timu pinzani za IFM na Muhimbili ambapo katika mechi zote mbili kilitoka (0-0). Michuano hiyo ya bonanza ilifanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya kikosi hicho Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya mpambano
Kikosi cha timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa kikipasha misuli kabla ya mpambano kwenye viwanja vya chuo kikuu cha Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Kikosi cha timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa kikiwa uwanjani kikipambana na timu ya MUHAS ambapo hadi mwisho wa mchezo walitoka (0-0).
No comments:
Post a Comment