Wednesday, October 01, 2014

DK.SHEIN AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA WILAYA PEMBA

IMG_8061Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar   ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8158Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini  Wizra ya Biashara,Viwanda na Masoko, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8173Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Jabu Khamis Mbwana kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya Mkoani Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8195Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi SSP Sida Mohamed Himid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8222Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mohammed  Faki Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu,[ Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...