Thursday, October 23, 2014

WAZIRI UMMY MWALIMU ATAKA HALMASHAURI YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA ZA MAZINGIRA

1Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
2Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.Kulia ni wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na watendaji wa halmashauri hiyo.
3Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akizungumza na watendaji wa kata za manispaa ya Kinondoni(hawapo pichani) wakati wa ziara hiyo.Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty.
4Badhi ya watendaji wa kata mbalimbali za manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, wakati alipotembelea kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
5Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu (katikati) akiongozwa na Mwenyekiti wa soko la Tandale, Sultan Kiumbo kuingia kwenye ofisi ya soko hilo, wakati alitembelea kujifunza changamoto za mazingira zinazolikabili soko hilo.
6Mwenyekiti wa soko la Tandale, Sultan Kiumbo, akmueleza jambo Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, wakati alipotembelea soko hilo kujifunza changamoto za mazingira.
7Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akisalimiana na mama lishe katika soko la Tandale jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea soko hilo kujifunza changamoto za mazingira.
8Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akizugumza na muuza mbogamboga kujua jinis anavyoshughulikia taka anazozalisha kwenye soko la Tandale jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea soko hilo kujifunza changamoto za mazingira.
9Mwenyekiti wa soko la Tandale, Sultan Kiumbo, akimuonesha Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, mabaki ya matunda yalitupwa, wakati alipotembelea soko hilo kujifunza changamoto za mazingira.
Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...