Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi iliyopita Mbelwa alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi nane Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba na George Dimoso wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi iliyopita ambapo Mbelwa alishinda kwa pointi Picha na SUPER D BLOG
Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huo
Bondia Said Mbelwa akinyanyuliwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huo |
Bondia Aman Bariko ‘Manny Chuga’ akioneshana umwamba na Ally Bugingo wakati wa mpambano wao Bariki alishinda kwa pointi picha na SUPER D BLOG
Bondia Zamoyoni Mbishi kushoto akipambana na Sadiq Nuru wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi Mbishi alishinda kwa pointi picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Mandula kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka Mandula alishinda kwa TKO ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
No comments:
Post a Comment