Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya Vituka Dar es Salaam
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine .
Mtemvu na viongozi wengine wa UWT, wakishangilia baada uzinduzi wa ofisi hizo kufanyika
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam Mtemvu wakitia saini kwenye vitabu vya wageni katika ofisi hizo
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakiwa katika mkutano huo
Msaidizi Mkuu wa Mbunge wa Temeke, Ally Mehalla akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano huo.
Mtemvu akitoa zawadi kwa msanii Haassn Mapenje aliyekuwa akitumbuiza kwa sarakasi katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment