Friday, October 17, 2014

KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YA WAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA

7aKaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid (kulia)wakiwa miongoni mwa washiriki wa semina ya  wahandisi na wataalamu wa uendeshaji wa mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika iliyofanyika jana  katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam, Semina hiyo imeandaliwa na kampuni ya Comsoft ya Ujerumani ambao ni wataalamu wa mitambo inayotumika  kwa ajili ya usalama ndege wakati ikiwa anga husika.5aBaadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr. Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia ya usalama wa ndege ikiwa  kwenye anga husika. iliyofanyika katika hoteli ya Serena jana jijini Dar es Salaam4aBaadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia ya usalama wa ndege ikiwa  kwenye anga husika. iliyofanyika katika hoteli ya serene leo jijini Dar es Salaam.2aKaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid (kulia)wakiwa miongoni mwa washiriki wa semina ya  wahandisi na wataalamu wa uendeshaji wa mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika iliyofanyika jana  katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam,Semina hiyo imeandaliwa na kampuni ya Comsoft ya Ujerumani ambao ni wataalamu wa mitambo inayotumika  kwa ajili ya usalama ndege wakati ikiwa anga husika.8aMkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid  na Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft  Dr.Gunther Hellstrn ( kulia ) wakimsikilza kwa makini  mtaaramu wa kuongoza ndege kutoka Uganda (UGATCA) Magret Kagendo wakati alipokuwa akiuliza swali wakati wa semina iliyowashirikisha wahandisi na wataalamu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...