Monday, October 13, 2014

BALOZI WA FINLAND NCHINI BI. SINIKKA ANTILA AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

1aWaziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimkaribisha   Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila (kushoto) kabla ya kuanza kikao kilichojadili utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuboresha umeme katikati ya jiji la Dar es Salaam. Pia kikao hicho kilihusisha ujumbe wa balozi wa Finland na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
2aWaziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza na Balozi wa Finland Nchini Bi. Sinikka Antila na ujumbe wake pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

No comments:

PROF. SHEMDOE AWAASA WANAFUNZI KUENDELEZA VIPAJI VYAO VYA MICHEZO, SANAA

• Awataka kuwa na nidhamu na kusoma kwa bidii Na OWM - TAMISEMI, Iringa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali ...