Tuesday, October 28, 2014

PINDA AWASILI MUSCAT OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI

unnamedWaziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa  wa Kimataifa wa Muscat wa  Royal Airport  kwa ziara ya siku mbili ya kikazi nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...