Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi.
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchuni Bw. James Kajugusi akitoa mada kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Kampuni ya GODTEC Bw. Aloyce Midelo akielezea namna Kampuni yao inavyosaidia vijana katika kujiari kwa kuanzisha makampuni yao wenyewe. ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akifafanua namna NHC ilivyo saidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
Meneja Miradi wa DSW Tanzania Bw. Avit Buchwa akielezea namna Shirika lao linavyosaidia vijana katika Nyanja ya Afya ya Uzazi. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
………………………………………………………………..
Na Jonas Kamaleki
Maafisa Vijana wamekutana kati kikao kazi hiki ikiwa ni utaratibu wa kila mwaka ambapo unatekelezwa mara baada ya Kilele cha Mbio za Mwenge na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambapo mwaka huu kitaifa imefanyika Mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment