Thursday, October 23, 2014

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yafanya ziara Shirika la Nyumba la Taifa


 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwakaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Zakhia Meghji kwenye Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa, Plot 1 Iconic Building, Upanga Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira James Lembeli wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara katika Shirika la Nyumba kufahamu utekelezaji wa miradi yake na baadaye kutembelea katika miradi ya Kawe City (Tanganyika Packers na Kunduchi Range kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akifuatlia kwa kina mjadala uliokuwa ukiendelea wakati Kamati ya Bunge ilipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa, Kulia kwake ni Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.


Mbunge wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa, Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu na Mbunge wa Babati Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mkoani Manyara, Kisyeri Werema wakifuatilia mwenendo katika kikao cha kamati ya Bunge na Shirika la Nyumba la Taifa.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira James Lembeli wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara katika Shirika la Nyumba kufahamu utekelezaji wa miradi yake na baadaye kutembelea katika miradi ya Kawe City (Tanganyika Packers na Kunduchi Range kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ)
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Sellasie Mayunga akitoa maelezo mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira James Lembeli wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara katika Shirika la Nyumba kufahamu utekelezaji wa miradi yake na baadaye kutembelea katika miradi ya Kawe City (Tanganyika Packers na Kunduchi Range kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ)



Sehemu ya Wabunge na Waziri wakifuatilia maelezo aliyokuwa akiyatoa Mheshimiwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara katika Shirika la Nyumba kufahamu utekelezaji wa miradi yake na baadaye kutembelea katika miradi ya Kawe City (Tanganyika Packers na Kunduchi Range kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ)

Wabunge na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwasili katika eneo la Kunduchi Range (Tanganyika Packers) kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ) na baadaye kuelekea mradi wa Kawe City  
 Wabunge na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwasili katika eneo la Kunduchi Range (Tanganyika Packers) kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ) na baadaye kuelekea mradi wa Kawe City  
 Wabunge na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwasili katika eneo la Kunduchi Range (Tanganyika Packers) kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ) na baadaye kuelekea mradi wa Kawe City  
 Wabunge na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelekezo ya Mkurugenzi wa Ubunifu, Issack Peter katika eneo la Kunduchi Range (Tanganyika Packers) kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ) na baadaye kuelekea mradi wa Kawe City  

 Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba Khamis Mpinda, wa Manunuzi, Issack Peter wa Ubunifu, Felix Maagi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Felix Maagi  na Hamad Abdallah wakijadili jambo katika eneo la Kunduchi Range (Tanganyika Packers) kilichokabidhiwa kwa Shirika la Nyumba na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ)
 Kutoka Kushoto Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya, Mkurugenzi wa Uendeshaji na Mikoa, Raymond Mndolwa, Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi, Khamis Mpinda, Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter, Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Benedict Kiolimba, mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari, Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu, James Rhombo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Felix Maagi na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki, Hamad Abdallah wakiwa katika picha ya pamoja.

Wabunge na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwasili katika eneo la mradi wa Kawe City 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...