Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said (kushoto kwake) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio Oman baada ya kuwasili kwenye hoteli ya AL Bustan Palace mjini Muscut kuanza ziara ya siku mbili nchini humo, Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment