Wednesday, October 15, 2014

TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA LAELIMISHA KUHUSU NGUVU YA KODI KWA VIJANA

Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere alipofariki  Dunia  Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na Kukuza uchumi.
 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo (kushoto) akiwa na Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati
akimkaribisha kusaini katika ubao wa saini
 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo akisai ubao kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika
upingaji wa watu kuto kulipa kodi
Mkurugenzi wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika bonanza akitia Saini yake katika ubao wa saini katika uwanja wa ustawi wa jamii siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia  Jijini Dar es Salaam 
Mkurugenzi wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye ndiye Mgeni Rasmi akifunga Bonanza lililofanyika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia  Jijini Dar es Salaam 
 Picha za pamoja waalimu wafanyakazi wa mashirika wanafunzi pamoja na Mgeni Rasmi
Baadhi ya wanafunzi walio weza kuhudhuria bonanza hilo 
  kikundi cha burudani kikiwa kipo jukwaani kwaajiri ya kusherehesha katika bonanza lililo andaliwa na Action Aid Tanzania

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...